|
# Belshaza
|
|
|
|
Hili lilikuwa ni jina la mtoto wa kiume wa Nebukadneza ambaye alikuwa mfalme baada yake.
|
|
|
|
# mwonekano wa uso wake ulibadilika
|
|
|
|
Uso wa mfalme uliendelea kuonekana dhaifa na hafifu kuliko hata ulivyokuwa katika 5:5
|
|
|
|
# walishangazwa
|
|
|
|
"kuchanganyikiwa"
|