forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
564 B
Markdown
20 lines
564 B
Markdown
# Maelezo ya jumla
|
|
|
|
Mistari ya 19-33 inatumia nafsi ya tatu kuelezea hukumu ya Nebukadneza
|
|
|
|
# Vitu hivi vyote...katika Babeli
|
|
|
|
Maelezo katika 4:38 yamepangwa upya ili kwamba maana yake ieleweke kwa urahisi.
|
|
|
|
# miezi wa kumi na miwili
|
|
|
|
"miezi 12"
|
|
|
|
# Je hii si Babeli kuu....kwa ajili ya utukufu wa enzi yangu?
|
|
|
|
Nebukadneza anauliza swali hili kwa kutia mkazo katika utukufu wake mwenyewe. Maneno haya yaweza kuelezwa kwa maelezo. "Hii ni Babeli kuu...kwa utukufu wa enzi yangu."
|
|
|
|
# kwa ajili ya utukufu wa enzi yangu
|
|
|
|
"kuwaonesha watu heshima yangu na ukuu wangu"
|