sw_tn/dan/04/24.md

20 lines
441 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Mistari ya 19-33 inatumia nafsi ya tatu kuelezea hukumu ya Nebukadneza
# Maelezo ya jumla
Maneno mengi katika mistari hii inafanana sawa sawa kama 4:15
# ambalo limekufikia
"ambalo umelisikia"
# Utafukuzwa utoke miongoni mwa watu,
Maneno haya yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Watu watakufukuza utoke miongoni mwao."
# Utafanywa uwe unakula majani
Hii yaweza pia kuelezwa kwa muundo tendaji. "utakula majani"