sw_tn/dan/03/16.md

12 lines
425 B
Markdown

# Nebukadneza, hatuhitaji
Katika sehemu hii watu watatu wanaongea na Mfalme bila kutumia wadhifa wake. Hii ni hali ya kuonesha dharau kwa mamlaka yao.
# Kama sivyo, na ijulikane kwako, wewe mfalme,
"Lakini mfalme unapaswa kujua kwamba hata kama Mungu wetu hatatuokoa sisi"
# sanamu ya dhahabu uliyoiweka.
Katika kirai hiki, kiwakilishi "u" hakimhusu mfalme kuiweka sanamu, bali mfalme aliamuru watu wake waisimamishe.