sw_tn/dan/02/29.md

20 lines
450 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Danieli anaendelea kuongea na Mfalme
# yule afichuaye siri
Kirai hiki kinamrejelea Mungu. "Mungu ambaye hufunua siri"
# siri hii haikufunuliwa kwangu
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Mungu hakuifunua siri hii kwangu"
# Siri hii imefunliwa kwangu ili kwamba wewe
Hii yaweza kuelezwa kwa muundo tendaji.
# Amefunua siri hii kwangu ili kwamba wewe
Kirai hiki kinatumia kiwakilishi "wewe" kumrejelea mtu katika akili.