sw_tn/dan/02/23.md

12 lines
333 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Mstari huu pia ni sehemu ya sala ya Danieli. Aliacha kumwongelea Mungu kwa nafsi ya tatu na alianza kutumia nafsi ya pili.
# umeyafanya yawe wazi kwetu yale tuliyokuomba
"aliniambia marafiki zangu na nilikuomba utuambie."
# umetujulisha mambo yamhusuyo mfalme
"alituambia kile ambacho mfalme alitaka kujua"