forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
557 B
Markdown
16 lines
557 B
Markdown
# ndugu
|
|
|
|
Hapa inamaanisha Wakrsto wenzang, kujumuisha wote wanaume na wanawake.
|
|
|
|
# walioko Leokadia
|
|
|
|
ni mji ulio karibu sana na Kolosai mahali ambapo kulikuwa na kanisa pia
|
|
|
|
# Nimfa, na kanisa lile lililoko ndani ya nyumba yake
|
|
|
|
mwanamke aliyeitwa Nimfa alitoa nyumba yake iwe kanisa huko Leokadia. "Nimfa na kundi la waumini walikutana nyumbani kwake"
|
|
|
|
# mwambie Arkipo, iangalie huduma ile uliyopewa katika Bwana, kwamba lazima uitimize"
|
|
|
|
Paulo anatoa mawaidha kwa Arkipo kwa kazi aliyopewa na Mungu na kwamba Arkipo anawajibishwa na Bwana kwa kuitimiza.
|