# ndugu Hapa inamaanisha Wakrsto wenzang, kujumuisha wote wanaume na wanawake. # walioko Leokadia ni mji ulio karibu sana na Kolosai mahali ambapo kulikuwa na kanisa pia # Nimfa, na kanisa lile lililoko ndani ya nyumba yake mwanamke aliyeitwa Nimfa alitoa nyumba yake iwe kanisa huko Leokadia. "Nimfa na kundi la waumini walikutana nyumbani kwake" # mwambie Arkipo, iangalie huduma ile uliyopewa katika Bwana, kwamba lazima uitimize" Paulo anatoa mawaidha kwa Arkipo kwa kazi aliyopewa na Mungu na kwamba Arkipo anawajibishwa na Bwana kwa kuitimiza.