forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
524 B
Markdown
20 lines
524 B
Markdown
# Aristarko
|
|
|
|
Alikuwa amefungwa pamoja na Paulo huko Efeso wakati Paulo alipoandika barua hii kwa Wakolosai.
|
|
|
|
# kama akifika
|
|
|
|
"kama Marko akija"
|
|
|
|
# Yesu aliyeitwa Yusto
|
|
|
|
Huyu mtu alikuwa pia mtenda kazi pamoja na Paulo.
|
|
|
|
# "Hao peke yao ni watu wa tohara ni watenda kazi wenzangu katika ufalme wa Mungu.
|
|
|
|
"Hawa wanaume watatu ni Wayahudi wakristo tunaofanya kazi pamoja nami ya kumtangaza Mungu kama mfalme kupitia Kristo Yesu"
|
|
|
|
# Hawa peke yao wa tohara
|
|
|
|
"Hawa wanaume Aristarko, Marko na Yusto pekee ni watu waliotahiriwa.
|