sw_tn/col/04/02.md

28 lines
651 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Paulo anendelea kuwapa maelezo waamini juu ya kuishi na kuongea.
# Maelezo kwa jumla:
Hapa neno "sisi" linarejea kwa Paulo na Timotheo ila sio Wakolosai.
# Endelea kuwa thabiti katika maombi
"endelea kuomba kwa uaminifu" au "endelea kuomba mara kwa mara"
# Mungu afungue njia
"Mungu ataandaa fursa"
# siri ya kweli ya Kristo
Hii inarejea injili ya Yesu Kristo, ambayo haikueleweka kabla ya kuja Kristo kuja.
# Kwa sababu ya lile neno , mimi nilifungwa.
Kwa kutangaza ujumbe ule wa Yesu Kristo sasa nimefungwa.
# omba ili niweze kusema kwa uwazi
"omba niwe na nguvu na uwezo wa kutoa ujumbe wa Yesu Kristo kwa uwazi"