sw_tn/col/03/18.md

20 lines
324 B
Markdown

# Sentensi Unganishi:
Paulo anatoa baadhi ya maelekezo muhimu kwa wake, waume, watoto, kina baba, watumwa, na mabwana.
# Wake, nyenyekeeni kwa
"Wake, tiini"
# ni sahihi
"ni sahihi" au "ni sawa"
# msiwe wakali dhidi ya
"msiwe wakali na" "msiwe na hasira juu ya"
# msiwachokoze watoto wenu
"msiwachochee watoto wenu"