# Sentensi Unganishi: Paulo anatoa baadhi ya maelekezo muhimu kwa wake, waume, watoto, kina baba, watumwa, na mabwana. # Wake, nyenyekeeni kwa "Wake, tiini" # ni sahihi "ni sahihi" au "ni sawa" # msiwe wakali dhidi ya "msiwe wakali na" "msiwe na hasira juu ya" # msiwachokoze watoto wenu "msiwachochee watoto wenu"