sw_tn/col/02/20.md

28 lines
1.1 KiB
Markdown

# Ikiwa mmekufa pamoja na Kristo katika mtiririko wa imani ya dhambi za ulimwengu.
Fumbo hili linaonesha kwamba, kama vile mtu anavyokufa kimwili hayatii tena mahitaji ya kimwili ya ulimwengu ( pumzi, kula, sleep), mtu anayekufa kiroho pamoja na Kristo haitaji tena kuyatii mambo ya duniani .
# Kwa nini mnaishi kama manawajibika kwa dunia: "msiguse"?
Paulo ametumia swali hili, kukemea Wakolosai kwa ajili ya imani isiyo ya kweli ya ulimwengu. Acheni kujinyenyenyekesha kwa imani za ulimwengu.
# ishi kama mnawajibika kwa dunia
"fikiri lazima mzitii tamaa za dunia"
# dunia
mawazo, tamaa, na dhana za wingi wa dhambi katika dunia ya watu
# yameamriwa kwa ajili ya uharibifu
"kuangamia." Paulo hapa anatumia mfano kuchimbua mwili ("uharibifu") kwenye kaburi.
# Sheria hizi zinahekima ya dini zilizotengenezwa kwa ubinafsi na unyenyekevu na mateso ya mwili
kutengeneza dini na unyenyekevu na nguvu ya mwili- "Hizi sheria zinaonekana pana kuamini watu kwa sababu zinawaruhusu wale ambao wanaowafwata kuonekana wanyenyekevu kwa sababu wanaumiza miili yao wenyewe"
# hazina thamani dhidi ya tamaa za mwili
"msiache kusaidia kufuata mwili wa tamaa"