# Ikiwa mmekufa pamoja na Kristo katika mtiririko wa imani ya dhambi za ulimwengu. Fumbo hili linaonesha kwamba, kama vile mtu anavyokufa kimwili hayatii tena mahitaji ya kimwili ya ulimwengu ( pumzi, kula, sleep), mtu anayekufa kiroho pamoja na Kristo haitaji tena kuyatii mambo ya duniani . # Kwa nini mnaishi kama manawajibika kwa dunia: "msiguse"? Paulo ametumia swali hili, kukemea Wakolosai kwa ajili ya imani isiyo ya kweli ya ulimwengu. Acheni kujinyenyenyekesha kwa imani za ulimwengu. # ishi kama mnawajibika kwa dunia "fikiri lazima mzitii tamaa za dunia" # dunia mawazo, tamaa, na dhana za wingi wa dhambi katika dunia ya watu # yameamriwa kwa ajili ya uharibifu "kuangamia." Paulo hapa anatumia mfano kuchimbua mwili ("uharibifu") kwenye kaburi. # Sheria hizi zinahekima ya dini zilizotengenezwa kwa ubinafsi na unyenyekevu na mateso ya mwili kutengeneza dini na unyenyekevu na nguvu ya mwili- "Hizi sheria zinaonekana pana kuamini watu kwa sababu zinawaruhusu wale ambao wanaowafwata kuonekana wanyenyekevu kwa sababu wanaumiza miili yao wenyewe" # hazina thamani dhidi ya tamaa za mwili "msiache kusaidia kufuata mwili wa tamaa"