sw_tn/col/02/06.md

24 lines
702 B
Markdown

# mwimarishwe...mjengwe...mjengwe...nyingi
Haya maneno yanaeleza inamaana gani "kutembea katika yeye."
# kwamba mlimpokea
"kwamba ninyi waamini wa Kolosai mlimpokea Kristo"
# mwimarishewe katika yeye
Paulo anamzungumzia mtu mwenye imani ya kweli katika Kristo kana kwamba huyo mtu alikuwa unaokuwa kwenye aridhi mgumu ngumu yenye mizizi mirefu.
# muimarike katika imani
"muishi maisha yenu kulingana na imani yenu katika Yesu Kristo"
# kama mlivyofundishwa
Huu ni mwanzo mzuri bila kutaja au vinginevyo kuvuta usikivu kwa mwalimu, ambaye alikuwa Epafradito. "kama mlivyojifunza" au "kama walivyokufundisha" au "kama alivyowafundisha"
# muwe na shukurani nyingi
"muwe na shukurani kwa Mungu"