sw_tn/col/02/04.md

24 lines
470 B
Markdown

# hila
Hii inamaana kwamba kusababisha mwingine aamini kitu ambacho sio kweli, hivyo, anatenda hiyo imani, na madhara ya mateso kama matokeo.
# hotuba yenye ushawishi
hotuba ambayo itafanya mtu afikirie tofauti
# sio pamoja nanyi katika nyama
"siko pamoja nanyi kimwili"
# Niko nanyi katika roho
"Naendelea kufikiri kuwhusu ninyi"
# mpangilio mzuri
kufanya vitu kwa mpangilio
# nguvu ya imani yako
"kukosaje na hakuna anayeweza kuwasababishia kuacha kuamini"