# hila Hii inamaana kwamba kusababisha mwingine aamini kitu ambacho sio kweli, hivyo, anatenda hiyo imani, na madhara ya mateso kama matokeo. # hotuba yenye ushawishi hotuba ambayo itafanya mtu afikirie tofauti # sio pamoja nanyi katika nyama "siko pamoja nanyi kimwili" # Niko nanyi katika roho "Naendelea kufikiri kuwhusu ninyi" # mpangilio mzuri kufanya vitu kwa mpangilio # nguvu ya imani yako "kukosaje na hakuna anayeweza kuwasababishia kuacha kuamini"