forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
788 B
Markdown
20 lines
788 B
Markdown
# ninyi mkanyagao... na kumuondoa
|
|
|
|
Amosi anazungumza na wale ambao "huuza" na "soko"
|
|
|
|
# hekalu
|
|
|
|
dhuru kwa sababu maalumu na kurudi tena na tena kuendelea
|
|
|
|
# Husema, "Wakati mwezi mpya utakapoisha, hivyo tunaweza kuuza mazao tena? Wakati siku ya Sabato itakapoisha, ili kwamba tuuze ngano?
|
|
|
|
"Mara zote wanauiza ni lini mwezi mpya utaisha ili wauze nafaka tena, na ni lini Sabato itaisha ili wauze ngano."
|
|
|
|
# Tutafanya kipimo kidogo na kuongeza bei, tukidanganya kwa mizani za udanganyifu
|
|
|
|
Wafanyabiashara wangetumia vipimo vya uongo vinavyoonyesha kile kiasi cha nafaka walichokuwa wakitoa kilikuwa kikubwa kuliko ilivyokuwa halisi na ule uzito wa malipo ulikuwa chini kuliko ilivyokuwa halisi.
|
|
|
|
# na masikini kwa jozi moja ya kubadhi
|
|
|
|
"na nunua jozi moja ya kubadhi kwa ajili ya mhitaji"
|