sw_tn/amo/08/04.md

788 B

ninyi mkanyagao... na kumuondoa

Amosi anazungumza na wale ambao "huuza" na "soko"

hekalu

dhuru kwa sababu maalumu na kurudi tena na tena kuendelea

Husema, "Wakati mwezi mpya utakapoisha, hivyo tunaweza kuuza mazao tena? Wakati siku ya Sabato itakapoisha, ili kwamba tuuze ngano?

"Mara zote wanauiza ni lini mwezi mpya utaisha ili wauze nafaka tena, na ni lini Sabato itaisha ili wauze ngano."

Tutafanya kipimo kidogo na kuongeza bei, tukidanganya kwa mizani za udanganyifu

Wafanyabiashara wangetumia vipimo vya uongo vinavyoonyesha kile kiasi cha nafaka walichokuwa wakitoa kilikuwa kikubwa kuliko ilivyokuwa halisi na ule uzito wa malipo ulikuwa chini kuliko ilivyokuwa halisi.

na masikini kwa jozi moja ya kubadhi

"na nunua jozi moja ya kubadhi kwa ajili ya mhitaji"