sw_tn/amo/06/11.md

705 B

Tazama

"Sikiliza" au "Kuwa makini kwa kile ninachotaka kuwaambia."

nyumba kubwa itapigwa kuwa vipande vipande, na nyumba ndogo kuwa na nyufa

Hivi virai viwili vinashirikiana maana moja. Tofauti kati ya "nyumba kubwa" na "nyumba ndogo" inamaanisha kwamba hii inarejea kwa nyumba zote. Maana ziwezekanazo: 1) Yahwe atawaamuru wengine kuiharibu kila nyumba au 2) Yahwe mwenyewe ataiharibu kila nyumba mwenyewe kirahisi kwa kutoa amri.

nyumba kubwa itapigwa kuwa vipande vipande

"adui ataiseta nyumba kubwa kuwa vipande vipande"

kuwa vipande vipande...kuwa vipande

Unaweza kutumia neno hilo hilo kwa virai hivi vyote.

ndogo kuwa vipande vipande

"nyumba ndogo itasetwa kuwa vipande vipande"