forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
705 B
Markdown
20 lines
705 B
Markdown
|
# Tazama
|
||
|
|
||
|
"Sikiliza" au "Kuwa makini kwa kile ninachotaka kuwaambia."
|
||
|
|
||
|
# nyumba kubwa itapigwa kuwa vipande vipande, na nyumba ndogo kuwa na nyufa
|
||
|
|
||
|
Hivi virai viwili vinashirikiana maana moja. Tofauti kati ya "nyumba kubwa" na "nyumba ndogo" inamaanisha kwamba hii inarejea kwa nyumba zote. Maana ziwezekanazo: 1) Yahwe atawaamuru wengine kuiharibu kila nyumba au 2) Yahwe mwenyewe ataiharibu kila nyumba mwenyewe kirahisi kwa kutoa amri.
|
||
|
|
||
|
# nyumba kubwa itapigwa kuwa vipande vipande
|
||
|
|
||
|
"adui ataiseta nyumba kubwa kuwa vipande vipande"
|
||
|
|
||
|
# kuwa vipande vipande...kuwa vipande
|
||
|
|
||
|
Unaweza kutumia neno hilo hilo kwa virai hivi vyote.
|
||
|
|
||
|
# ndogo kuwa vipande vipande
|
||
|
|
||
|
"nyumba ndogo itasetwa kuwa vipande vipande"
|