sw_tn/amo/06/07.md

12 lines
236 B
Markdown

# asema Bwana Yahwe
Mungu mwenyewe anatoa maagizo.
# Nachukia boma zake
"Nawachukia watu wa Israeli kwa sababu wanaamini boma zao, sio mimi, kuwalinda wao"
# boma
kuta zilizojengwa kuzunguka miji kuwalinda kutoka kwa washambuliaji