sw_tn/amo/05/12.md

8 lines
227 B
Markdown

# kuwageuza wahitaji kwenye lango la mji
"msiwaruhusu maskini kuleta kesi zao kwa mahakimu"
# kila mtu mwenye busara atanyamaza kimya
Wale ambao hawataki haki watu waovu kuwaumiza hawataongea kwa sauti juu ya matendo maovu.