sw_tn/amo/04/12.md

661 B

Israeli, Waisraeli, taifa la Israeli

Neno "Israeli" ni jina ambalo Mungu alimpa yakobo. Linamaana, "ameshindana na Mungu."

Mungu

Katika Biblia, neno "Mungu" linarejea kwenye kuwa milele aliyeumba ulimwengu wote kutoka bila kitu. Mungu anaisha kama Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. Jina la Mungu ni "Yahwe."

funuo, ufunuo

Neno "funuo" maana yake kusababisha jambo kujulikana. "ufunuo" ni kitu ambacho kilichukuwa kimefanywa kujulikana.

mahali pa juu

Neno "mahali pa juu" linarejea kwenye madhabahu na sehemu takatifu iliyokuwa ikitumika kwa ajili ya kuabudu sanamu. Yalikuwa yamejengwa kawaida juu ya aridhi, kama juu ya mlima au pembeni ya mlima.