sw_tn/amo/04/10.md

20 lines
435 B
Markdown

# kuufanya uvundo wa kambi zenu na kuingiza kwenye pua zenu
"Hewa iliyojazwa kwa
# uvundo
harufu mbaya sana, hasa ya watu waliokufa
# Milikuwa kama kijinga kilichokuwa kikiteketea kwenye moto
"Nimewavuta haraka kutoka kwenye moto kama mlikuwa kijinga kilichokuwa kikiteketea" au "Niwaache muungue sehemu kabla sijawavuta kutoka kwenye moto."
# hamkunirudia
"hamjaacha kutenda dhambi juu yangu"
# asema Yahwe
Mungu amezungumza