# kuufanya uvundo wa kambi zenu na kuingiza kwenye pua zenu "Hewa iliyojazwa kwa # uvundo harufu mbaya sana, hasa ya watu waliokufa # Milikuwa kama kijinga kilichokuwa kikiteketea kwenye moto "Nimewavuta haraka kutoka kwenye moto kama mlikuwa kijinga kilichokuwa kikiteketea" au "Niwaache muungue sehemu kabla sijawavuta kutoka kwenye moto." # hamkunirudia "hamjaacha kutenda dhambi juu yangu" # asema Yahwe Mungu amezungumza