sw_tn/amo/04/08.md

20 lines
340 B
Markdown

# Nimewapiga kwa maradhi yanayosababisha kuvu
"Wakati mwingine nawapatia mvua kidogo na wakati mwingine mvua kubwa"
# maradhi
ugonjwa ambao unakausha na kuua mimea
# ukungu
ukuaji mbaya kwenye vitu ambavyo vibakivyo na unyevu kwa mda mrefu
# hamkunirudia
"hamjaacha kutenda dhambi juu yangu"
# asema Yahwe
Bwana Mungu anazungumza.