# Nimewapiga kwa maradhi yanayosababisha kuvu "Wakati mwingine nawapatia mvua kidogo na wakati mwingine mvua kubwa" # maradhi ugonjwa ambao unakausha na kuua mimea # ukungu ukuaji mbaya kwenye vitu ambavyo vibakivyo na unyevu kwa mda mrefu # hamkunirudia "hamjaacha kutenda dhambi juu yangu" # asema Yahwe Bwana Mungu anazungumza.