sw_tn/amo/02/15.md

20 lines
295 B
Markdown

# Apindaye upinde
"apindaye upinde atakimbia"
# mkimbiaji sana hatakimbia
"mkimbiaji wa kwanza atanyakuliwa"
# mwendesha farasi hatajiokoa
"mwendesha farasi atakufa"
# kimbia uchi
Maana ziezekanazo 1) "kimbia bila silaha zake" au 2) "kimbia bila nguo."
# Yahwe asemavyo
Mungu ameagiza.