# Apindaye upinde "apindaye upinde atakimbia" # mkimbiaji sana hatakimbia "mkimbiaji wa kwanza atanyakuliwa" # mwendesha farasi hatajiokoa "mwendesha farasi atakufa" # kimbia uchi Maana ziezekanazo 1) "kimbia bila silaha zake" au 2) "kimbia bila nguo." # Yahwe asemavyo Mungu ameagiza.