sw_tn/amo/01/05.md

24 lines
591 B
Markdown

# kumkatilia mbali mtu
Hapa "katilia" inamaanisha aidha "kuharibu" au " kutoa."
# yule mtu ashikaye fimbo ya kifalme katika Beth Edeni
Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatfsiri hii kuwa mtu mmoja aishiye katika Biqati Aveni
# mtu ambaye aishiye katika Biqati Aveni.
Baadhi ya matoleo ya kisasa yametafsiri hii kumaanisha, "Watu ambao waishio katika Biqati Aveni." Matoleo ambayo yana "mtu" kawaida yanatafsiri hii maana dhahiri kumaanisha mfalme.
# Biqati Aven...Beth Edeni...Kiri
jina la miji.
# Edeni
tofauti na Bustani ya Edeni
# yule mtu ashikaye fimbo ya kifalme
mfalme au mkuu