sw_tn/act/26/19.md

8 lines
213 B
Markdown

# Kwa hiyo
Neno hili linanyesha maelezo ya kilichosemwa kabla. Paulo alielezea ambacho Bwana alimuamuru katika maono.
# Sikuyapuuza maono ya mbinguni
"Nilitii ujumbe niliopewa kwenye maono yaliyotoka mbinguni"