# Kwa hiyo Neno hili linanyesha maelezo ya kilichosemwa kabla. Paulo alielezea ambacho Bwana alimuamuru katika maono. # Sikuyapuuza maono ya mbinguni "Nilitii ujumbe niliopewa kwenye maono yaliyotoka mbinguni"