sw_tn/act/26/15.md

16 lines
411 B
Markdown

# Maelezo yanayounganisha
Paulo aliendelea kutoa utetezi wake kwa Mfalme Agripa. Kwenye mistari hii aliendelea kunukuu mazungumzo yake na Bwana.
# Nilijitenga mwenyewe
"Nilitengezeza mwenyewe" au "Kuweka wakfu mwenyewe"
# kwa imani iliyo kwangu
Hii inaelezea Imani juu ya Mungu kwa waliotengwa na Mungu kwa ajili yake.
# Niliowatenga kwa ajili yangu kwa imani iliyo kwangu
Paulo alimaliza kumnukuu Bwana