sw_tn/act/25/04.md

12 lines
287 B
Markdown

# Paulo alikuwa mfungwa Kaisaria
Paulo ni mfungwa Kaisaria na mimi mwenyewe ntarejea huko baada ya muda mfupi.
# Kama kuna jambo lolote baya kwa mtu huyu.
Kama Paulo amefanya jambo lolte baya.
# Unaweza kumshtaki
"Unaweza kuleta mashtaka" au "unaweza kumshataki kwa kuvunja sheria"