# Paulo alikuwa mfungwa Kaisaria Paulo ni mfungwa Kaisaria na mimi mwenyewe ntarejea huko baada ya muda mfupi. # Kama kuna jambo lolote baya kwa mtu huyu. Kama Paulo amefanya jambo lolte baya. # Unaweza kumshtaki "Unaweza kuleta mashtaka" au "unaweza kumshataki kwa kuvunja sheria"