sw_tn/act/24/17.md

28 lines
766 B
Markdown

# Sasa
neno hili linaweka alama ya kuhama kutoka katika hoja ya Paulo. Hapa anaanza kuelezea hali katika Yerusalemu wakati baadhi ya Wayahudi walipomweka Paulo nguvuni.
# baada ya miaka mingi
"baada ya miaka mingi kutoka Yerusalemu"
# Nilikuja kuleta misaada kwa taifa langu na zawadi ya fedha
Hapa "nilikuja" inaweza kutafsiriwa kama "Nilikwenda." "Nilikwenda kusaidia watu wangu kwa kuwapelekea fedha kama zawadi"
# katika sherehe ya utakaso katika hekalu
"katika hekalu baada ya kumaliza sherehe ya kujitakasa mwenyewe"
# Bila umati wa watu au ghasia
Hii yaweza tajwa kama kauli mpya. "Mimi nilikuwa sijakusanya umati wala sikujaribu kuanzisha ghasia"
# wamaume hawa
"Wayahudi kutoka Asia"
# kama wanajambo lolote
"Kama wana jambo lolote la kusema"