sw_tn/act/23/12.md

24 lines
412 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Wakati Paulo akiwa kifungoni kwenye ngome, Wayahudi wasioamini waliapa kumwua.
# Azimio
"kufanya nadhiri" au "kuapa mbele za Mungu"
# Azimio
Ni makubaliano ya kawaida ya kufanya jambo fulani.
# kuita laana juu yao wenyewe
Neno "laana" Walimwomba Mungu awalaani hama wasingetimiza nadhili yao
# wanaume arobaini
wanaume 40
# ambao walifanya njama hii
"ambao alipanga kumuua Paulo"