forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
501 B
Markdown
16 lines
501 B
Markdown
# Taarifa ya jumla
|
|
|
|
Fungu hili linazungumzia juu ya askari.
|
|
|
|
# Kamba
|
|
|
|
Hizi zilikuwa na nyuzi nyuzi za ngozi au mnyama.
|
|
|
|
# Je, ni halali kwenu kumpiga viboko mtu ambaye ni raia wa Rumi na hajakuhumiwa bado?
|
|
|
|
Paulo alitumia swali hili kuuliza juu ya uhalali wa kuchapwa kwake viboko. "Si halali kwenu kumpiga mijeledi mtu ambaye ni raia wa Rumi na hajakuhumiwa!"
|
|
|
|
# Je, unataka kufanya nini?
|
|
|
|
Swali hili limetumika kuwaomba kamanda kufikiria upya mpango wake wa kumjeledi Paulo. "Hupaswi kufanya hivi!"
|