sw_tn/act/20/07.md

20 lines
454 B
Markdown

# Taarifa unganishi
Luka anaelezea huduma ya Paulo ya mahubiri huko Troa na kile kilichotokea juu ya Eutiko
# Taarifa ya jumla
Luka bado anaelezea kuwa walikuwa pamoja katika safari hiyo.
# kumega mkate
Mkate kilikuwa ni chakula cha kawaida wakati wa saa ya chakula. Kumega mkata hapa, inaweza kuwa walishiriki chakula saa ya chakula.
# aliendelea kunena
aliendelea kutoa ujumbe
# Chumba cha juu
Hii inaweza kuwa chumba cha juu ghorofa ya tatu.