# Taarifa unganishi Luka anaelezea huduma ya Paulo ya mahubiri huko Troa na kile kilichotokea juu ya Eutiko # Taarifa ya jumla Luka bado anaelezea kuwa walikuwa pamoja katika safari hiyo. # kumega mkate Mkate kilikuwa ni chakula cha kawaida wakati wa saa ya chakula. Kumega mkata hapa, inaweza kuwa walishiriki chakula saa ya chakula. # aliendelea kunena aliendelea kutoa ujumbe # Chumba cha juu Hii inaweza kuwa chumba cha juu ghorofa ya tatu.