sw_tn/act/20/04.md

28 lines
576 B
Markdown

# Taarifa ya jumla
Luka mwandishi wa Matendo ya Mitume, alikuwa ameungana na timu ya Paulo. Hapa anatumia maneno ya wingi akimtaja Paulo akiwamo na yeye.
# kuandamana naye
Kusafiri pamoja na Paul
# Sopatro ... Trofimo
Haya ndiyo majina ya watu wanaume
# Berea ... Derbe ... Troa
Haya ndiyo majina ya maeneo waliyopitia
# Aristarko ... Gayo
Haya ni majina ya watu wanaume
# Watu hawa walikuwa wamekwenda mbele yetu
"hawa watu walikuwa wamesafiri mbele yetu"
# siku za mikate isiyotiwa chachu
Hii inaelezea juu ya wakati wa sikukuu ya Wayahudi. Kipindi cha Pasaka.