# Taarifa ya jumla Luka mwandishi wa Matendo ya Mitume, alikuwa ameungana na timu ya Paulo. Hapa anatumia maneno ya wingi akimtaja Paulo akiwamo na yeye. # kuandamana naye Kusafiri pamoja na Paul # Sopatro ... Trofimo Haya ndiyo majina ya watu wanaume # Berea ... Derbe ... Troa Haya ndiyo majina ya maeneo waliyopitia # Aristarko ... Gayo Haya ni majina ya watu wanaume # Watu hawa walikuwa wamekwenda mbele yetu "hawa watu walikuwa wamesafiri mbele yetu" # siku za mikate isiyotiwa chachu Hii inaelezea juu ya wakati wa sikukuu ya Wayahudi. Kipindi cha Pasaka.