sw_tn/act/19/26.md

32 lines
972 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Demetrio anaendelea kuzungumza na mafundi
# munaona na kusikia kwamba
"Mumekuja kwa kujua na kuelewa kwamba"
# kuwageuza watu wengi
Paulo anawazuia watu kuacha kuabudu miungu. Paulo anawashawishi watu kufuata mwelekeo mwingine.
# Anawaeleza kuwa hakuna miungu ambayo iliyotengenezwa kwa mikono
Neno hapa "Mikono" linaelelzea hali yote ya mtu. Anamaanisha kuwa Hakuna miungu iliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu iliyo ya kweli.
# kwamba biashara yetu haitaweza kuhitajika tena.
"Kwamba watu hawataweza tena kuhitaji na kununua miungu kutoka kwetu."
# hekalu la mungu mkuu mke diana hataonekana na thamani tena.
Hii inaweza kutafsiriwa kuwa; "watu watafikiri kuwa hakuna faida inayoendelea kuabudu katika hekalu ya mungu mke Diana."
# Hata atapoteza umaarufu wake
Umarufu wa Diana utapotea kwa kufikiri habari yake.
# ambao wote walio Asia na ulimwengu wa waabuduo
hili linakuzwa ili kuonyesha vile Diana alivyokuwa anapendwa na wengi.