# Sentensi unganishi Demetrio anaendelea kuzungumza na mafundi # munaona na kusikia kwamba "Mumekuja kwa kujua na kuelewa kwamba" # kuwageuza watu wengi Paulo anawazuia watu kuacha kuabudu miungu. Paulo anawashawishi watu kufuata mwelekeo mwingine. # Anawaeleza kuwa hakuna miungu ambayo iliyotengenezwa kwa mikono Neno hapa "Mikono" linaelelzea hali yote ya mtu. Anamaanisha kuwa Hakuna miungu iliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu iliyo ya kweli. # kwamba biashara yetu haitaweza kuhitajika tena. "Kwamba watu hawataweza tena kuhitaji na kununua miungu kutoka kwetu." # hekalu la mungu mkuu mke diana hataonekana na thamani tena. Hii inaweza kutafsiriwa kuwa; "watu watafikiri kuwa hakuna faida inayoendelea kuabudu katika hekalu ya mungu mke Diana." # Hata atapoteza umaarufu wake Umarufu wa Diana utapotea kwa kufikiri habari yake. # ambao wote walio Asia na ulimwengu wa waabuduo hili linakuzwa ili kuonyesha vile Diana alivyokuwa anapendwa na wengi.