sw_tn/act/18/22.md

32 lines
741 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Paulo anaendelea na safari yake ya kimisionari.
# Taarifa ya jumla.
Frigia ulikuwa ni jimbo katika Adsia ambao kwa sasa ni Uturuki.
# alipotua Kaisaria
"alifika Kaisaria kwa njia ya Meli"
# alipanda kwenda
"Paulo alisafiri kwenda mji wa Yerusalemu" Kupanda kwenda juu kwa vile Yerusalimu ulikuwa nyanda za juu zaidi ya Kaisaria.
# Kusalimia Kanisa la Yerusalemu
"kuwasalimia washirika wa kanisa laYerusalemu"
# Akashuka kwenda
Alishuka kwenda Antiokia kwa vile Antiokia ulikuwa mji uliochini ya bonde zaidi ya Yerusalemu.
# Paulo aliondoka
"Paulo alikwenda zake" au "Paulo aliondoka"
# Baada ya kukaa pamoja nao kwa muda fulani.
Unazungumziwa muda alioutumia kukaa nao kabla mtu hajaanza safari nyingine.