# Sentensi unganishi Paulo anaendelea na safari yake ya kimisionari. # Taarifa ya jumla. Frigia ulikuwa ni jimbo katika Adsia ambao kwa sasa ni Uturuki. # alipotua Kaisaria "alifika Kaisaria kwa njia ya Meli" # alipanda kwenda "Paulo alisafiri kwenda mji wa Yerusalemu" Kupanda kwenda juu kwa vile Yerusalimu ulikuwa nyanda za juu zaidi ya Kaisaria. # Kusalimia Kanisa la Yerusalemu "kuwasalimia washirika wa kanisa laYerusalemu" # Akashuka kwenda Alishuka kwenda Antiokia kwa vile Antiokia ulikuwa mji uliochini ya bonde zaidi ya Yerusalemu. # Paulo aliondoka "Paulo alikwenda zake" au "Paulo aliondoka" # Baada ya kukaa pamoja nao kwa muda fulani. Unazungumziwa muda alioutumia kukaa nao kabla mtu hajaanza safari nyingine.