sw_tn/act/17/26.md

32 lines
698 B
Markdown

# mtu mmoja
Inaweza kuwa na maana zifuatazo .1) "ni Adamu ambaye Mungu alimuumba" au 2) "Inaweza ikajumuisha Adamu na Hawa ambao Mungu aliwaumba"
# alifanya Mataifa
"Mungu,muumbaji, alifanya mataifa yote"
# yote ...wao
Hapa inamanisha watu wote waishio juu ya uso wa dunia.
# kwahiyo
neno hili ni alama ya kauli kwamba alisema kwasababu ya kile ambacho alisema hapo awali.
# kumtafuta Mungu japo hayuko mbali nao
"Kumtafuta Mungu"
# wamfikie
"kuona haja ya Yeye"
# hayuko mbali
Paulo anasema kinyume ya kile anachozungumza ili kusisitiza jambo. " Yeye yuko karibu sana"
# na kila mmoja wetu
Paulo anajiweka mwenyewe, wasikilizaji wake na kila taifa alipotumia neno "kila mmoja wetu"