# mtu mmoja Inaweza kuwa na maana zifuatazo .1) "ni Adamu ambaye Mungu alimuumba" au 2) "Inaweza ikajumuisha Adamu na Hawa ambao Mungu aliwaumba" # alifanya Mataifa "Mungu,muumbaji, alifanya mataifa yote" # yote ...wao Hapa inamanisha watu wote waishio juu ya uso wa dunia. # kwahiyo neno hili ni alama ya kauli kwamba alisema kwasababu ya kile ambacho alisema hapo awali. # kumtafuta Mungu japo hayuko mbali nao "Kumtafuta Mungu" # wamfikie "kuona haja ya Yeye" # hayuko mbali Paulo anasema kinyume ya kile anachozungumza ili kusisitiza jambo. " Yeye yuko karibu sana" # na kila mmoja wetu Paulo anajiweka mwenyewe, wasikilizaji wake na kila taifa alipotumia neno "kila mmoja wetu"