sw_tn/act/14/19.md

28 lines
636 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Aliyedhaniwa kuwa amekufa ni Paulo.
# kuwashawishi makutano
Inaweza kusaidia kueleza wazi alichowashawishi umati kufanya. "kuwashawishi watu kutowaamini Paulo na Barnaba, na kuwegeukia"
# makundi
Hii inaweza kutokuwa kundi moja na "makutano" katika mstari uliopita. Muda umepita, na hili linaweza kuwa kundi tofauti lililokusanyika pamoja.
# wakidhani kuwa amekufa
"kwa sababu walifikiri kuwa ameshakufa"
# wanafunzi
Hawa walikuwa waumini wapya katika mji wa Listra.
# kuingia katika mji
"Paulo aliingia tena Listra na waumini"
# alienda Derbe na Barnaba
"Paulo na Barnaba walienda katika mji wa Derbe"